Pakua faili ya utatuzi

Kipakuliwa changu ki wapi?

Ikiwa hupatu kipakuliwa chako, tafadhali angalia hapa (ukitumia Google Chrome):

 1. Faili yako ipo katika kipinga cha chini cha kivinjari, bofya ili uanze kusakinisha:

  Kipinga cha chini
 2. Fungua ukurasa wako wa vipakuliwa kwa kutumia njia hii ya mkato:CTRL+J (WINDOWS) au SHIFT+CMD+J (MAC).

  Au ubofye:(Ipo kwenye kona ya juu ya Google Chrome) na uchague Vipakuliwa.

  Aikoni ya menyu ya kipinga cha juu

  Angalia orodha.Orodha hii inajumuisha faili zote ulizozipakua.Bofya ya kwanza uanze kusakinisha

  Orodha ya vipakuliwa
 3. Usipobadilisha sehemu chaguomsingi pa kuweka vipakuliwa, Google Chrome huhifadhi faili kwenye sehemu zilizoorodheshwa hapa chini.Utapata kipakuliwa chako hapo:

  • Windows 10, 8, 7 na Vista:Watumiaji / Jina la mtumiaji / Vipakuliwa
  • Mac:Watumiaji / Jina la mtumiaji / Vipakuliwa

Usipoipata faili, labda unahitaji kupakua programu-tumizi hii tena.

Umepata kipakuliwa chako?

Zindua upya upakuaji

Je, hii ni Programu Isiyolipishwa?

Huhitaji kulipa chochote ili upakue programu kwenye Softonic.Kupakua programu kwenye tovuti yetu hakulipishwi chochote.Hata hivyo, kumbuka kuwa huenda leseni ya programu ilipishwe.Hatupeani bila malipo programu za kulipiwa.

Cyberduck

Cyberduck kwa leseni ya windows:free

 • Hizi hapa aina za leseni zinazotumika sana:
 • Bila Malipo:Hatulipishi kutumia programu na hakuna vizuizi vya wakati.
 • (GLP - Leseni ya Jumla ya Umma) Bila Malipo:Programu inaweza kutumika na kusambazwa bila malipo mradi tumtumiaji anaheshimu masharti na maudhui asili ya programu.
 • Kinga Dhidi ya Matangazo Isiyolipishwa:Programu hailipishwi, lakini ina matangazo.
 • Toleo la jaribio:Unaweza kutumia programu bila malipo, lakini baada ya siku chache, utahitaji kuinunua ikiwa unataka kuendelea kuitumia.
 • Onyesho:Ni toleo la muda mfupi ambalo unaweza kutumia bila malipo (wakati mwingine bila vizuizi vya muda).Baadhi ya vipengele vikuu vya programu havipatikani usiponunua toleo kamili.
 • Toleo kamili:Unahitaji kununua programu au mchezo ili uupakue na kuutumia.

Je, maelezo haya yamekusaidia?

Kwa nini inachukua muda mrefu kupakua?

 1. Jinsi faili ilivyo kubwa ndivyo itakavyochukua muda zaidi kuipakua.
 2. Kasi ya upakuaji waki inaweza kupunguzwa na uwezo wa muunganisho wako.

Tafadhali subiri…

Je, maelezo haya yamekusaidia?